Yanga wameshinda kwa penati 4-3

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2021
Yanga wameshinda kwa penati 4-3

Mchezo wa fainali michuano ya kombe la Mapinduzi umemalizika kwa Simba kupoteza kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya mchezo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Vijana wa kocha Selemani Matola hawakuwa na mchezo mzuri leo ambao ulitawaliwa na matumizi ya nguvu

Sio matokeo ambayo Wanamsimbazi waliyahitaji lakini ndio mpira wa miguu ulivyo

Mshambuliaji Miraji Athumani aliibuka kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo baada ya kufunga mabao manne wakati Francis Kahata ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mashindano

Joash Onyango ameibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo akikabidhiwa kitita cha Tsh Milioni Moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’