Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka leo Jumapili kwenda Djibouti tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Gendarmerie.
Mchezo huo utapigwa Jumanne, Febryary 20.
Simba inatarajiwa kuondoka saa 11 jioni na ndege ya KQ.
Jana Simba ilifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo wa marudiano Simba ikiwa tayari ina mabao 4-0.

ADVERTISE HERE