Lazima tuwapige hizi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2021
Lazima tuwapige hizi leo

Mashabiki wa Simba wameendelea kumiminika uwanja wa Amaan wakisubiri mchezo wa fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Yanga ambao utapigwa kuanzia saa mbili na robo usiku

Zanzibar imezizima, dimba la Amaan limetawaliwa na rangi nyekundu kwa nyeupe saa chache kuelekea mechi ya dabi ya Kariakoo inayopigwa visiwani

Mzuka wa Wanamsimbazi uko juu, hakuna shaka leo watarudi majumbani kwao wakiwa na furaha baada ya dakika 90 za mchezo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’