Mzuka wa wachezaji wa Simba uko juu kuelekea mchezo wa fainali michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Yanga
Kocha Selemani Matola ametumia siku ya leo kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kikosi chake kuelekea mchezo huo
Simba imepania kuanza kuhesabu mataji mwaka huu kwa kuanza na taji hili la Mapinduzi





ADVERTISE HERE