Tanzania vs DR Congo, mechi ya kirafiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jan 2021
Tanzania vs DR Congo, mechi ya kirafiki

Timu ya Taifa jioni ya leo Jumanne itashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili DR Congo ukiwa ni mchezo wa kirafiki

Mchezo huo ni mwisho kujipima kabla ya safari ya Cameroon kushiriki michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

Aidha mkongwe Aggrey Morris aliyetangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa, leo ataagwa

Alfajiri ya kuamkia Alhamisi, kikosi cha Stars kitaondoka kuelekea Cameroon kushiriki michuano ya CHAN inayoanza Januari 16

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’