FT : Simba 2-1 Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2021
FT : Simba 2-1 Namungo Fc

Mabingwa wa nchi Simba wametinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Namungo Fc mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Amaan

Mabao ya Meddie Kagere na Miraji Athumani 'Sheva' yalitosha kuihakikishia Simba ushindi muhimu katika mchezo ambao walitawala kwa muda mwingi

Aidha bao la kufutia machozi kwa upande wa Namungo Fc lilifungwa na Steven Sey katika dakika ya 88

Simba sasa itachuana na Yanga katika mchezo wa fainali utakaopigwa keshokutwa Jumatano

Mwana kulitafuta... Mwana kulipata....!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’