Jana kikosi cha Simba kikiwajumuisha wachezaji na benchi la ufundi walipata nafasi ya kutembelea mji mkongwe (Stone Town) kupata historia ya utumwa visiwani Zanzibar
Pia wakapata nafasi ya kutembelea shamba la viungo vya chakula la Mero







ADVERTISE HERE