Kwa sasa hapa nchini, Tanzania Bara na Visiwani ukizungumzia timu bora, utataja jina la timu moja tu, Simba Sport Club
Mabingwa hawa wa nchi wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wao katika michuano ya kombe la Mapinduzi kule visiwani Zanzibar
Ukienda uwanjani kuitazama Simba tarajie burudani ya kiwango cha hali ya juu, lakini pia utashangilia magoli
Haishangazi kuona kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar, Simba ndio klabu inayoonekana kuwa na mvuto zaidi
Jana Watalii kutoka Mataifa mbalimbali walijitokeza kumshuhudia 'Mnyama' akimuadhibu Mtibwa Sugar katika mchezo uliomalizika kwa Simba kushinda mabao 2-0
Wazungu hao walipendeza kwelikweli ndani ya uzi wa klabu ya Simba




ADVERTISE HERE