Majibu ya wanaohoji Chama alisaini lini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jan 2021
Majibu ya wanaohoji Chama alisaini lini

Mwezi uliopita kiungo fundi wa Simba Clatous Chama 'CCC' maarufu mwamba wa Lusaka alisaini mkataba mpya wa kuitumikia Simba utakaomuweka Msimbazi hadi mwaka 2023

Kipindi cha dirisha kubwa la usajili, kulikuwa na tetesi nyingi zilizomuhusisha Chama na klabu ya Yanga na hata Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' alipotangaza kuwa Chama ameongeza mkataba, wapo waliobisha eti kwa kuwa hawakuona picha inayomuonyesha anasaini mkataba huo

Picha zimeachiwa sasa, bila shaka waliokuwa na mashaka wameziona. Chama ni mali ya Simba na bado yuko sana Msimbaziiii

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’