FT : Simba 2-0 Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2021
FT : Simba 2-0 Mtibwa Sugar

Simba imetinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi kibabe baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar

Mabao ya Hassan Diliunga na Miraji Athumani yametosha kuihakikishia Simba ushindi huo ambao pia unamaanisha wamelipa kisasi cha kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa fainali mwaka uliopita

Mtibwa Sugar wameyaaga mashindano hayo

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Selemani Matola leo amewapa nafasi baadhi ya wachezaji wa kigeni waliokuja kufanya majaribio kama alivyofanya mchezo uliopita

Beki Bernard Agele na kiungo mshambuliaji Ian Moyo walipata nafasi kuwashawishi mabosi wa Simba waweze kupewa mikataba

Miraji Athumani 'Sheva' anaongoza mbio za ufungaji bora wa michuano hiyo baada ya kufikisha mabao matatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’