Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amejiunga na klabu ya FAR Rabat inayoshiriki ligi kuu ya Morocco
Sven amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili
Juzi Sven aliomba kuondoka Simba akidai kuhitaji kuwa karibu na familia yake
FAR Rabat inashika nafasi ya 11 katika msimamo wa ligi kuu ya Morocco inayoshirikisha timu 16
ADVERTISE HERE