Kocha wa zamani Al Ahly atajwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2021
Kocha wa zamani Al Ahly atajwa Simba

Kocha wa zamani wa Al Ahly Rene Weiler anatajwa kuwa karibu kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck aliyetimka kwao juzi kutokana na matatizo ya kifamilia

Inaelezwa Simba ina orodha ya majina ya makocha zaidi ya 100 siku ya kwanza tu tangu ilipoachana na Sven

Weiler anaongoza orodha hiyo kutokana na kuwa na CV nzuri na zaidi kwa sasa hana timu anayofundisha tangu alipoachana na Al Ahly

Kocha huyo raia wa Uswisi amewahi kufundisha ligi kuu ya Ubelgiji klabu ya RSC Anderlecht kati ya mwaka 2016 na 2018

Alijiunga na Al Ahly August 2019 na kuondoka kunako klabu hiyo Oktoba 2020 akimpisha kocha wa sasa wa timu Pitso Mosimane

Simba inakabiliwa na kampeni ya michuano ya ligi ya mabingwa, mechi za hatua ya makundi zikitarajiwa kuanza kupigwa mwezi ujao

Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara, wanahitaji kupata kocha haraka ambaye atakuwa na muda wa kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya michuano hiyo

Weiler anaonekana kuwa mtu sahihi kwa ajili ya majukumu hayo

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’