Droo ya makundi ligi ya mabingwa ni leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jan 2021
Droo ya makundi ligi ya mabingwa ni leo

Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inafanyika baadae leo jijini Cairo, Misri

Azam Tv watarusha mbashara tukio hilo litakaloanza saa tisa Alasiri

Wanamsimbazi wanasubiri kufahamu timu yao, Simba Sc itapangwa na timu zipi katika michuano ya mwaka huu

Timu zilizoingia hatua ya makundi ni Zamalek, Kaizer Chiefs, Mamelodi Sundowns, Al Ahly, Esperance, TP Mazembe, Teungueth na Al Hilal

Nyingine ni CR Belouizdad, Simba Sc, Al Merrikh, AS Vita, MC Alger, Wydad Casablanca, Horoya AC na Petro Atletico

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’