Matola kuanza na Chipukizi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jan 2021
Matola kuanza na Chipukizi

Kocha Msaidizi Selemani Matola amekabidhiwa mikoba kuiongoza Simba baada ya kuondoka kwa kocha Sven Vandenbroeck aliyefikia makubaliano na uongozi kuachia majukumu yake kutokana na matatizo ya kifamilia

Matola tayari ametua Visiwani Zanzibar kuanza kazi jioni ya leo katika mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Chipukizi

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi na robo

Kikosi cha Simba kilitua Zanzibar jana mchana na jioni wakafanya mazoezi katika uwanja wa Amaan

Hii ni nafasi kwa Matola kuipa Simba mafanikio kwa kushinda kombe la Mapinduzi pamoja na kuwa atawakosa baadhi ya wachezaji wanaokabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’