Baada ya kutua visiwani Zanzibar mapema jana, mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni walifanya mazoezi uwanja wa Amaan kujiandaa na mchezo wao wa kwanza kombe la Mapinduzi dhidi ya Chipukizi
Mchezo huo utapigwa leo Ijumaa, saa kumi na robo jioni



ADVERTISE HERE