Beki kisiki wa Simba Ibrahim Ame amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayojiandaa na fainali za michuano ya CHAN 2021 zitakazofanyika Cameroon baadae mwezi huu
Ame ameitwa kuchukua nafasi ya mkongwe Agrey Morris aliyetangaza kustaafu
Morris ataagwa rasmi keshokutwa Ijumaa katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo

Wachezaji wote wa Simba walioitwa Stars wameripoti kambini leo baada ya kuisaidia Simba kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
ADVERTISE HERE