Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar wanakoenda kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Simba itashuka uwanjani kesho Ijumaa kuikabili Chipukizi mchezo ukitarajiwa kupigwa saa kumi jioni
Zamu yenu Zanzibar kupata burudani kutoka kwa mabingwa wa nchi ambao jana wametinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika





ADVERTISE HERE