Wachezaji Simba kujazwa mamilioni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jan 2021
Wachezaji Simba kujazwa mamilioni

Baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi mnono wa mabao 4-1 (aggregate), wachezaji wa Simba wanatarajiwa kupokea kitita kinono cha fedha kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti Bilionea Mohammed Dewji

Mapema leo kabla ya mchezo, Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez alisema wachezaji watapata bonus kubwa kama watashinda leo na kwenda hatua ya makundi

Taarifa za ndani zilibainisha kuwa nyota wa Simba watagawana kitita cha Tsh Milioni 250 baada ya ushindi leo

Kwani wameihakikishia Simba kukusanya kitita cha Tsh Bilioni 1.2 kutoka kwa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) baada ya kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’