Muda mchache ujao Simba itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Fc Platinum katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika
Huu ni mchezo ambao Simba inahitaji kuibuka na ushindi wa kuanzia mabao 2-0 ili iweze kutinga hatua ya makundi
Kocha Sven Vandenbroeck ameanza na wanaume hawa 11;

ADVERTISE HERE