Simba kurejea kwa Ndege Ijumaa usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Feb 2018
Simba kurejea kwa Ndege Ijumaa usiku
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea usiku huu, Ijumaa kikitokea mkoani Mwanza kwa usafiri wa Ndege.

Simba imetokea mkoani Shinyanga ilikocheza mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 18 na kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Mwadui FC.

Simba inarejea na usafiri wa Ndege ya ATCL.

Keshokutwa Jumapili Simba inatarajiwa kwenda nchini Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Gendarmarie.

Mchezo huo utapigwa Jumanne, February 20.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’