Mzamiru, Lwanga, Salim kuikosa Platinum Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jan 2021
Mzamiru, Lwanga, Salim kuikosa Platinum Fc

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc utakaopigwa baadae leo uwanja wa Benjamin Mkapa

Manara amebainisha kuwa wachezaji watatu hawawezi kujumuishwa katika mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi

Mhamasishaji huyo namba moja wa Simba, amewataja Thaddeo Lwanga, Mzamiru Yassin na Ally Salim kuwa wachezaji pekee watakaokosekana leo

"Kiungo wetu Taddeo Lwanga hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza na FC Platinum lakini vibali vyake tayari vimefika ingawa usajili wake CAF umechelewa. Tukipita hatua hii atakuwa tayari kucheza hata ligi na michuano ya Mapinduzi atakuwepo," Manara aliiambia Wasafi FM

"Wachezaji wengine Mzamiru Yassin na Ally Salum ni wagonjwa kwahiyo hawatakuwa sehemu ya mchezo"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’