Uongozi wa klabu ya Simba umewaomba radhi mashabiki kutokana na changamoto ya upatikanaji wa tiketi iliyojitokeza kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Fc Platinum ambao utapigwa jioni ya leo
Mashabiki ambao bado hawajapata tiketi, wameaswa kuwahi uwanja wa Benjamin Mkapa kununua tiketi kupitia Mawakala watakaokuwepo uwanjani hapo

ADVERTISE HERE