Tumuamini kocha wetu Sven - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jan 2021
Tumuamini kocha wetu Sven - Manara

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo kumuamini kocha Sven Vandenbroeck na kukubaliana na timu ambayo ataichagua kuanza nayo kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Fc Platinum hapo kesho

Katika mahojiano yake na eFM redio mapema leo, Manara amesema mashabiki wasimpe kocha Sven presha ya kufanya maamuzi nje ya kile anachoamini kitaisaidia timu yake katika mchezo huo

"Suala la aina gani ya mfumo na kikosi tumuachie kocha mwenyewe, sisi mashabiki kazi yetu ni kushangilia ushindi, hatuna haja ya kumpa kocha presha"

"Unajua sisi Watanzania kila mtu ni kocha, yani kila mtu anaujua mpira. Ifikie kipindi tuwaachie wenye taaluma zao sisi tubakie kushauri tu sio kulazimisha aanze na mastraika wawili au watatu"

"Kuna kipindi yule kocha wetu wa zamani, Aussems alitumia mastraika 3 zile mechi dhidi ya As Vita,Al Ahyl lakini tulikula tano. Hivyo ni vyema tukamuacha kocha akafanya chaguo ambalo ameona kitaalam litaisaidia timu," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’