Mkude hajafukuzwa Simba - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jan 2021
Mkude hajafukuzwa Simba - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewahakikishia wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuwa kiungo Jonas Mkude 'nungunungu' atarejeshwa kikosini baada ya shauri lake lililopelekwa Kamati ya Nidhamu kusikilizwa

Manara amesema wanatambua mchango wa Mkude katika klabu ya Simba, yaliyotokea ni sehemu ya changamoto ambayo mtu yoyote anaweza kukutana nayo kazini

Hivyo hakuna wasiwasi, nyota huyo aliyedumu kwa muda mrefu zaidi kwenye kikosi cha Simba atarejeshwa kikosini

"Mkude ni sehemu ya Simba, jambo lake lipo kamati ya nidhamu, Mkude ni sehemu ya Simba. Hajafukuzwa Simba, ni taratibu zimewekwa na kamati ya nidhamu na taratibu zikifanyika basi atarejea"

"Huyu ndiye mchezaji mwandamizi kwenye timu na atatimiza miaka 10 bila kuihama Klabu yetu Ila changamoto alizonazo Mkude ni suala la kawaida kwenye maisha ya kazi kwa kila Mwanadamu," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’