Bilioni 1.2 ziko mezani kwa ajili ya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jan 2021
Bilioni 1.2 ziko mezani kwa ajili ya Simba

Mchezo dhidi ya Fc Platinum una umuhimu wa kipekee kwa Simba kwani ushindi utaowawezesha kutinga hatua ya makundi na utaleta neema kubwa ya 'fedhwa'

Kulingana na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), timu 16 ambazo zitatinga hatua ya makundi kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa zinajihakikishia kuchukua Dola za kimarekani 550,000, sawa na Sh1.2 bilioni.

Simba kama watafanikiwa kutinga hatua ya makundi na wakafanya vizuri na kufika robo fainali kama ilivyokuwa mwaka juzi CAF, watawaongezea fedha hizo na kufika, Dola 600,000 (Sh bilioni 1.3)

Huku ndiko wababe wa soka Barani Afrika wanakutana, hakika lazima iwe 'War in Dar' kwani ushindi kwa Simba utakuwa na thamani kubwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’