Kuanzia saa sita kamili mchana wa leo Jumatatu, Januari 04 2021, uongozi wa klabu ya Simba utafanya Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Fc Platinum
Mkutano huo utafanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE