Siku tatu zimesalia kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc utakaopigwa Jumatano, Januari 06 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Mashabiki wameaswa kuchangamkia tiketi kupitia ofa ya punguzo maalum la bei ya viingilio ambayo itafikia kikomo kesho Jumatatu
Ukinunua tiketi kupitia mitandao ya simu (Mpesa, Tigopesa) utapata punguzo hilo maalum
Tayari Fc Platinum wametua jana kuelekea mchezo huo ambao machampioni wa soka nchini, Simba wameapa kushinda na kwenda makundi
ADVERTISE HERE