Tunawatakia kheri ya Mwaka Mpya Wanamsimbazi na mashabiki wote wa Simba Sc kote duniani
Mwaka uliopita (2020) ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa klabu, kushinda mataji yote ya ndani
Tumuombe Mwenye ez Mungu akaufanye mwaka huu ukawa bora zaidi kwetu na kwa klabu yetu ya Simba
Mapmabano yanaendelea! Kheri ya Mwaka Mpya 2021...!
ADVERTISE HERE