Kwa mujibu wa mtandao wa Transfer Market, mabingwa wa nchi Simba wameingia katika orodha ya vilabu ambavyo vinakua kwa kasi zaidi Duniani kwenye mtandao wa Instagram kwa mwaka 2020
Simba sio kuwa imeingia kwenye orodha hiyo tu, bali inashika nafasi ya kwanza
Haya ni mafanikio makubwa yanayotokana na juhudi zinazofanywa katika kuitangaza 'brand' ya Simba

ADVERTISE HERE