Simba yatoa mapumziko ya mwaka mpya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2020
Simba yatoa mapumziko ya mwaka mpya

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu Fc jana katika mchezo wa ligi kuu, uongozi wa Simba umewapa wachezaji mapumziko ya siku mbili

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema timu itarejea mazoezini Januari Mosi, kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Fc Platinum utakaopigwa Januari 06 uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba inaweka nguvu kuelekea mchezo huo ambao wanahitaji matokeo ya ushindi wa angalau mabao mawili kuweza kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’