FT : Simba 4-0 Ihefu Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Dec 2020
FT : Simba 4-0 Ihefu Fc

Wenye soka lao wamerejea! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kutakata katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc ambao umepigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jioni ya leo

Mabao 4-0 wamewahikishia machampioni hao wa nchi kufunga mwaka kibabe kwa ushindi huo mnono

M14 Meddie Kagere leo alikuwa na siku nzuri akiweka kambani mabao mawili shukrani kwa kazi nzuri iliyofanywa na Luis Miquissone na Clatous Chama

Aliyefungua akaunti ya mabao ni Mohammed Hussein wakati aliyefunga kalamu ya mabao ni kijana mwenye mguu wa dhahabu Chris Mugalu

Ni mchezo ambao Simba ilihitaji kushinda, matokeo hayo yakiendelea kuwakita katika nafasi ya pili

Machampioni wamefunga mwaka kibabe na sasa wanaelekeza nguvu zao kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platenum Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’