Tshabalala, Mkude wakosa nafasi CHAN

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Dec 2020
Tshabalala, Mkude wakosa nafasi CHAN

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetaja majina ya wachezaji 30 waliochaguliwa na kocha Etienne Ndayiragije kwa ajili ya michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza baadae mwezi huu huko Cameroon

Miongoni mwa wachezaji wa Simba waliojumuishwa katika timu hiyo, nyota Mohammed Hussein Tshabalala na Jonas Mkude sio miongoni mwa wachezaji walioitwa

Wachezaji wa Simba waliojumuishwa katika timu hiyo ni pamoja na Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Said Ndemla na John Bocco

Kikosi cha Stars kitaingia kambini Januari Mosi 2021 kuanza maandalizi ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’