Dalali akwama Uwenyekiti Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Dec 2020
Dalali akwama Uwenyekiti Simba

Baada ya zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa klabu ya Simba kukamilika, Kamati ya Uchaguzi tayari imefanya mchujo ikiwaengua wagombea ambao hawakukidhi vigezo

Wagombea saba walichukua na kurejesha fomu lakini ni wagombea watano tu waliopitishwa kwenda hatua inayofuata

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Hassan Dalali ni miongoni mwa wagombea walioenguliwa baada ya kukosa sifa

WAGOMBEA WALIOPITISHWA

1. Juma Nkamia
2. Murtaza Mangungu
3. Rashid Shangazi
4. Piton Mwakisu
5. Hamis Omary

WAGOMBEA WALIOENGULIWA

1. Hassan Dalali
2. Mohamed Soloka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’