Bocco anaendelea vizuri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Feb 2018
Bocco anaendelea vizuri
Nahodha wa Simba John Bocco anatarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi kubaini jeraha alilopata kwenye mchezo dhidi ya Mwadui FC.

Bocco aliyefunga moja ya mabao katika mchezo ambao timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2, aliumia katika dakika ya 29 na nafasi yake kuchukuliwa na Laudirt Mavugo.

Daktari wa Simba Yassin Gembe amesema hali ya Bocco sio mbaya na wanatarajia hatakuwa nje kwa muda mrefu.

Bocco anatarajiwa kukosa mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Gendarmerie Jumanne ijayo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’