Viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Dec 2020
Viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Kesho Jumatano, Simba itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu Fc mchezo wa kwanza wa duru ya pili ligi kuu ya Vodacom

Viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni tayari vimewekwa hadharani ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Tiketi zinauzwa Makao Makuu ya klabu Msimbazi, Fusion Sport na Sandland the Only One

Aidha tiketi za mchezo dhidi ya Platinum Fc, kwa siku ya leo Jumanne na kesho Jumatano,zitauzwa kwa bei ya punguzo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’