Kiungo Jonas Mkude ameingia tena katika 'headlines' uongozi wa Simba ukitangaza kumsimamisha kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu
Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo, imebainisha kuwa Mkude amepelekwa katika Kamati ya Nidhamu ambako tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili zitajadiliwa
Simba imesisitiza kuwa haitavumilia matukio yoyote ya utovu wa nidhamu

ADVERTISE HERE