Aliyekuwa mlinzi wa Simba Yusuf Mlipili amesajiliwa na klabu ya Kagera Sugar
Mlipili ametua Kagera Sugar akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Simba
Msimu uliopita haukuwa mzuri kwake kwani alikosa nafasi kwenye kikosi cha kocha Sven Vandenbroeck na baadae kuachwa katika usajili wa msimu huu
Kila la kheri katika klabu mpya
ADVERTISE HERE