Mabingwa watetezi ligi kuu ya Vodacom Simba, keshokutwa Jumatano watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu Fc ukiwa ni mchezo wa kwanza wa duru ya pili
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili Alasiri
Bodi ya Ligi imeweka hadharani ratiba ya mechi zote za raundi ya 18 ambazo zitapigwa wiki hii kama inavyoonekana hapa chini;

ADVERTISE HERE