Huyu Ndemla kuna siku ataua!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2020
Huyu Ndemla kuna siku ataua!

Pamoja na kun'gara sana kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Majimaji jana, kiungo Said Khamis Ndemla aliendeleza utamaduni wake wa kupiga makombora makali

Katika mchezo huo ambao Simba ilishinda mabao 5-0, Ndemla aliachia makombora matatu, moja lilisababisha bao la kwanza la Simba baada ya mlinda lango kuutema mpira ambao ulimaliziwa na Gadie Michael, lingine likagonga mwamba na jingine likimbabatiza mlinzi wa Majimaji

Uzito wa mashuti yanayopigwa na Ndemla ni hatari! huyu mtu ana nguvu sana katika miguu yake usidanganywe na mwili wake!

Nadhani kwa sasa hapa nchini, Ndemla ndiye mchezaji mwenye msuli wa kupiga makombora yale ambayo mara nyingi kama sio kugonga miamba basi huishia katika kamba

Ni mashuti ambayo walinda lango kwa usalama wao, wanashauriwa kutojisumbua kuyafuata...

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’