Simba kuanza duru ya pili dhidi ya Ihefu Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2020
Simba kuanza duru ya pili dhidi ya Ihefu Fc

Baada ya kufuzu raundi ya nne ya michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC) kibabe kwa kuifumua Majimaji mabao 5-0 hapo jana, mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba hawana muda wa kupoteza kwani siku ya Jumatano wanarejea kwenye kampeni ya kutetea ubingwa wao wa VPL wakianza mzunguuko wa 18 dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo wa pili baina ya timu hizo msimu huu, utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba ilianza msimu huu dhidi ya Ihefu mkoani Mbeya na kufanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1

Aidha, mabingwa hao wa nchi bado wana mechi tatu za viporo za kukamilisha mzunguuko wa kwanza dhidi ya Namungo Fc, Dodoma Jiji na Azam Fc

Lakini pia Januari 06, Simba inakabiliwa na mchezo muhimu wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc, mchezo ambao wekundu hao wa Msimbazi watahitaji ushindi ili kufuzu hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’