Simba kuimarisha safu ya ulinzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Dec 2020
Simba kuimarisha safu ya ulinzi

Klabu ya Simba inatarajiwa kuongeza mlinzi wa kati kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, imefahamika

Ni kutokana na mapendekezo yaliyotolewa na kocha mkuu Sven Vandenbroeck

Safu ya ulinzi ya Simba inawategemea zaidi Paschal Wawa, Joash Onyango na Erasto Nyoni na wakati mwingine Kennedy Juma na Ibrahim Ame

Hata hivyo Sven amependekeza kuletewa beki mwingine wa kati ambaye atakuwa na kasi na uwezo zaidi ya wachezaji waliopo

Simba tayari imesajili mchezaji mmoja kipindi hiki, kiungo mkabaji Thaddeo Lwanga na inaelezwa wachezaji wengine wawili watatua kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, 2021

Hivi karibuni mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez alifichua kuwa kuna wachezaji wameanza kuwafuatilia nchini Nigeria na Zimbabwe

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’