Simba kuanza Mapinduzi Cup na kikosi B

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Dec 2020
Simba kuanza Mapinduzi Cup na kikosi B

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kuwa watashiriki michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari 05 visiwani Zanzibar

Simba imepangwa kundi B sambamba na timu za Mtibwa Sugar na Chipukizi

Mchezo wa kwanza watacheza dhidi ya Chipukizi Januari 07 2021, siku moja baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc

Ni wazi mabingwa hao wa nchi watalazimika kupeleka kikosi chao cha pili kushiriki michuano hiyo kutokana na muingiliano wa ratiba

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Mtibwa Sugar na utapigwa Januari 09

Simba ilicheza fainali ya michuano hiyo kwa misimu miwili mfululizo msimu uliopita wakipoteza dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kufungwa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’