Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea Zimbabwe ambako juzi Jumatano walicheza mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc
Simba imerejea mawindoni wakikabiliwa mchezo wa raundi ya tatu kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Majimaji ambao utapigwa keshokutwa Jumapili


ADVERTISE HERE