Kabla ya kuianza safari ya kurejea nchini, kikosi cha Simba leo kimejifua huko Zimbabwe yakiwa ni mazoezi maalum ya kuondoa uchovu baada ya mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc uliopigwa jana katika uwanja wa Taifa wa Harare
Mchezo huo ulimalizika kwa wenyeji Platinum Fc kuondoka na ushindi wa bao 1-0









ADVERTISE HERE