Mchezo dhidi ya Majimaji kupigwa Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2020
Mchezo dhidi ya Majimaji kupigwa Jumapili

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea nchini leo baada ya kukamilisha mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc nchini Zimbabwe

Simba inarejea nchini ikiwa haina muda wa kupoteza kwani Jumapili ya Disemba 27, watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Majimaji katika mchezo wa raundi ya tatu michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo, wataianza kampeni ya kuhifadhi taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo

Mchezo huo utaunguruma kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’