Mashabiki wapagawa na Simba Shinyanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Feb 2018
Mashabiki wapagawa na Simba Shinyanga
Jana idadi kubwa ya mashabiki walifurika kwenye uwanja wa CCM Kambarage kushuhudia mazoezi ya kikosi cha Simba.

Uwanja huo ndio utakaotumika kwenye mchezo wa leo.

Simba inatarajia kushuka uwanjani leo Alhamisi kuvaana na Mwadui FC katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali.

Jana Simba iliingia uwanjani kujifua majira ya saa kumi,huku wachezaji chini ya makocha wao,Djuma na Lechentre wakisimamia vyema matizi ya vijana wao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’