Ni vita, Januri 06 pale kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2020
Ni vita, Januri 06 pale kwa Mkapa

Mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Platinum Fc utapigwa Jumatano ya Januari 06 2021 pale uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Tayari uongozi wa Simba umetangaza kuwa mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku

Kuelekea mchezo huo, Wanamsimbazi tunakwenda na kauli mbiu ya 'War in Dar' kwa maana ya vita ndani ya jiji la Dar es salaam

Mchezo huo ni sawa na vita kwani Simba ni lazima ishinde ili iweze kusonga mbele hatua ya makundi

Uongozi, benchi la ufundi, wachezaji, Wanachama na mashabiki wa Simba wanafahamu, vita hii ni lazima kuishinda

Jambo moja la uhakika ni kuwa, Simba haikuwahi kushindwa inapokuwa na jambo lake

Ile morali iliyokuwepo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa mwaka juzi, ndiyo inayopaswa kuibeba Simba kwenye mchezo huu

Hii ni vita ndani ya jiji la Dar es salaam...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’