Hawa Platinum Fc wanafungika vizuri tu Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2020
Hawa Platinum Fc wanafungika vizuri tu Dar

Simba imepoteza mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc kwa kufungwa bao 1-0 nchini Zimbabwe

Ni matokeo ambayo hayawezi kuwafurahisha mashabiki wa Simba lakini mchezo bado haujamalizika kwani kuna dakika nyingine 90 ambazo zitapigwa jijini Dar es salaam

Simba ndio iliyokuwa bora zaidi kwenye mchezo huo, Platinum wameondoka na ushindi wakitumia makosa yaliyofanywa kwenye safu ya ulinzi

Kocha Sven Vandenbroeck ana kazi ya kufanya kuhakikisha makosa hayo hayajirudiii kwenye mchezo wa marudiano

Platinum Fc ni timu ya kawaida sana ukilinganisha na ubora wa Simba, hakuna shaka jijini Dar es salaam nafasi kubwa ya ushindi ipo

Mashabiki hawapaswi kukatishwa tamaa na matokeo haya, umoja na mshikamano ni muhimu kuelekea mchezo huo wa marudiano ambao lazima Simba ishinde ili iweze kutinga makundi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’