Kocha wa makipa kutua karibuni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Dec 2020
Kocha wa makipa kutua karibuni

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema wako katika hatua ya mwisho kumalizana na mkufunzi wa makipa ambaye atachukua nafasi ya Mwarami Mohammed

Akijibu maswali ya Wanasimba kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii, Barbara amesema kocha huyo wa makipa anayekuja kutua Simba ni raia wa Afrika Kusini

"Tunaleta Kocha mpya wa magolikipa na tupo katika hatua nzuri Kocha huyo anatoka afrika kusini, " alisema Barbara

Katika hatua nyingine, Barbara amesema baadhi ya nyota wa Simba watatolewa kwa mkapa ili kulinda viwango vyao

Barbara amesema wanatambua ushindani wa namba kwenye kikosi umewafanya baadhi ya wachezaji wasipate nafasi mara kwa mara

Amesema wanakamilisha mazungumzo na vilabu wanavyotaka kuwapeleka kisha watawatangaza

"Kuna baadhi ya wachezaji tutawapeleka kwa mkopo , ila kwasasa hatuwezi kuwataja kwa kuwa bado hatujakamilisha mazungumzo na vilabu ambavyo tunataka kuwapeleka"

Miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa katika mpango huo ni pamoja na mshambuliaji Charles Ilanfya ambaye amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’