Beki mkongwe wa FC Barcelona Gerald Pique atakuwa mshauri wa masuala mbalimbali ya maendeleo kwa klabu ya Simba
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amedokeza kuwa Simba itashirikiana na Pique, wakitarajiwa kumtumia kama mshauri wa maendeleo ya soka la vijana
"Gerald Pique akiwa na jezi yake ya Simba. Ni fahari kuweza kujenga mahusiano na mchezaji wa aina yake. Tunaamini kuna mengi ambayo tutaweza kujifunza na atakayo tushauri yatakayoleta maendeleo ya mpira hususa kwa vijana," Mo aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii
ADVERTISE HERE